Kulingana na hadithi ya kweli ya kijana wa Kitanzania anayeanza safari, akitembea na marafiki zake zaidi ya kilomita 450 kutoka Dar es Salaam hadi Mt. Kilimanjaro. Njiani anatumia hisia zake za kuishi, na anajifunza masomo muhimu juu ya kuweka malengo, familia, na marafiki.
Based on the true story of a Tanzanian boy who sets out on an adventure, walking with two friends more than 450 kilometers from Dar es Salaam to Mt. Kilimanjaro. Along the way he uses his survival instincts, and learns some valuable lessons about goal-setting, family, and friends.